Stori: Brighton Masalu
MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa
anachukizwa na tabia ya watu kumwita tozi au mtu wa maringo.
Hapa anafafanua: “Wananihukumu kwa macho, mimi siyo tozi ila usafi
wangu na kutoonekana mara kwa mara kunanifanya nionekana hivyo lakini
kiuhalisia siko hivyo.”
No comments:
Post a Comment