POOL PARTY
Sunday, March 2, 2014
SIX PACKS ZA DIAMOND ZAWAPAGAWISHA MABINTI WA KI KENYA
Wadada wa Kenya Wapagawa na Six Packs za Diamond alipokuwa akiogelea katika Bwawa Moja Huko Nairobi alipoenda week iliyopita ..Wadada wengi walio kuwa wakishuhudia tukio hilo la kuogelea la diamond na wacheza show wake walisikika wakisema No wonder Diamond is Getting Fine Girls wa Kibongo....Na wengine wakimsifia jinsi alivyoumbika
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment