Ukikutana tu na picha hizi kwa mara ya kwanza, lazima kitakachokujia
kichwani ni collable ya wawili hawa ambao ni ndugu, Queen Darleen na
Diamond wameanza kupost picha hizi kupitia katika acc zao za mitandao
mbali mbali ya kijamii bila ya kutoa information yoyote juu yake.
katika Status ya picha hizi wawili hao wamekuwa wakiandika "Queen
Darleen +Diamond= ?, status iliyowaacha wengi wakijiuliza ni ngoma au ni
kitu gani
.Mpaka sasa wawili hao hawajaongea chochote kuhusu hilo, we unaonaje? ni collable au?
No comments:
Post a Comment