Mshindi
wa tuzo ya msanii bora wa Hiphop mwaka 2011-2012 rhymes of magic
attraction Roma, amesema kuwa anakerwa sana na kauli zinazohusisha
muziki wake na taarifa za habari au magazeti.
Roma
ana miaka 7 tu kwenye game ya bongo flava huku akiwa na fan base kubwa,
wiki iliyopita ameachia ngoma yake ya saba tangu aingie rasmi kwenye
game, ngoma inaitwa KKK
Roma huyu hapa anafunguka.
No comments:
Post a Comment