MSANII IBRA DA HUSTLER APELEKWA REHAB NA MAMA YAKE BAADA YA KUZIDIWA NA MADAWA YA KULEVYA
MSANII
wa Hip Hop aliyewahi kuwa katika kundi la Nako2nako na baadae akaamua
kuwa solo artist,Ibra Da Hustler hivi karibuni juzi alipelekwa na mama
yake pale Kigamboni Sober House kwa ajili kusaidiwa kuacha matumizi ya
madawa ya kulevya.Clouds fm imepiga stori na mama Ibra Da Hustler anafunguka hali ilivyokua mpaka akaamua kuchukua maamuzi magumu.
No comments:
Post a Comment