POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, March 14, 2014

BAADA YA MIAKA 15 TANGU NGOMA ITOKE,INSPEKTA HARUNI KUACHIA VIDEO YA NGOMA YA MTOTO WA GETI KALI.


Karibu miaka 15 imepita tangu inspektah Haroun Kahena wa kundi la Gangwe mob aiachie ngoma yake ya mtoto wa geti kali enzi hizo video zilikuwa sio ishu sana.

Wasanii walikua wanatoa audio tu zina hit na wanapiga shoo, wana aachia albumu, ili mashabiki waweze kumjua msanii alibidi awe ana pitia magazeti au anakwenda kwenye shoo, changamoto kwa wasanii kulikua na wasanii feki kibao wanapiga showo mikoani na kula mitonyo yao bila wao kujua.
Jumapili ya wiki hii Inspektah Haroun ana kitu kizuri sana amekiandaa kuhusu mtoto wa geti kali.

No comments:

Post a Comment