Clouds fm imewatembelea washiriki wa shindano hilo pale Land Mark hotel, Sinza na kupiga nao story, na kupigs stori na mfanyabiashara wa zabibu kutoka mkoani Dodoma na kuzipeleka Nairobi, ambaye yuko ndani ya mjengo anaitwa David Robert Matari, yeye akafunguka wazo lililomwingiza kwenye shindano hilo.
Kesho tutapiga stori na mshiriki mwingine,lakini pia unaweza ukatembelea Page ya facebook inaitwa ndoto za kitaa hapo utaweza kufahamu kila kinachoendelea kwenye shindano ndoto za kitaa, ambapo mwisho wa shindano mshindi atawezeshwa kufikia ndoto yake.
No comments:
Post a Comment