STAA
wa Bongo Fleva Nasseb Abdul’Diamond Platinumz’ amefunguka ameishauri
serikali kuzifungia kwanza video na nyimbo kutoka nje ya nchi kwani zina
uchafu zaidi kuliko video za hapa Bongo.Kupitia
mtandao wa Instagram Diamond aliandika hivi ikiwa kweli tunalengo la
kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni
vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje…
Na kuongeza
kuwa kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake
haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka
nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza muziki wa nje huku tukiudidimiza na
kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be
achieved?
No comments:
Post a Comment