POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, March 14, 2014

RAY C:RAFIKI WA KWELI UTAMJUA KWENYE MATATIZO

STAA nguli wa muziki wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila,’’Ray C’amefunguka kuwa alipopata matatizo kipindi alipokuwa akitumia madawa ndipo alipogundua rafiki wa kweli na wa uongo ambapo wengi aliowachukulia kama ndugu ndiyo walikuwa wa kwanza kumkimbia na wale aliokuwa akiwategemea ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kumsaidia japo kwa ushauri.Kupitia accounta yake ya instagram Ray C aliandika ‘’Nilipopata matatizo ndio niligundua rafiki wa kweli na rafiki waongo kwani wengi niluowachukulia kama ndugu ndio walikuwa wa kwanza kunikimbia na wale niliokuwa nisiowategemea ndio walikuwa mstari wa mbele kunisaidia japo ushauri..Usiyemdhania ndiye.....wanaokuumiza ni wale walio karibu yako siku zote so guys be very cqreful na watu wa karibu wanaojua kila kitu chako!&&hao ndio wanaoweza hata kukudhuru..

No comments:

Post a Comment