Album ya Lil Wayne inayotarajiwa kutoka mwaka huu "The Catter v" itakuwa
ndio album yake ya mwisho kama solo artist, labda mtu ampe ofa ya dola
miliomi 25 mpaka 35 kumfanya atengeneze album nyingine.
Wayne ametumia Interview alioifanya na MTV.com kutangaza kuwa baada ya
album hiyo ya tano ndio itakuwa mwisho wa kutoa kwake kwa solo album.
"Nina plan ya kuwa hii ndio iwe album yangu ya mwisho kama solo artist,
ndio na ni kweli hii ndio Carter album ya mwisho, ni album ya mwisho ya
Carter, inaishia ya 5." Dola milioni 25 mpaka 35 zitanifanya nifanye
solo album nyingine baada ya hii." amesema Lil Wayne.
The Carter V haijasemekana official itatoka tarehe ngapi kwa sasa, ila
katika moja ya shows iliyofanyika New Orleand mwezi uliopita, Drake
alimuita Lil Wayne na kutangaza kuwa album yake itatoka tarehe 5 May.
The Carter V ikitoka itakuwa ni karibu miaka 3 tangu alipoiachia "The Carter 1V"
No comments:
Post a Comment