Rose akionesha jiko la kisasa alilotoa kwa manispaa hiyo kwa ajili ya kuchomea takataka ambalo halina madhara kwa mazingira.
Meya
wa Ilala, Jerry Slaa (wa pili kushoto) akiwashukuru waliojitokeza
kwenye kampeni hiyo, wa kwanza kulia ni mkurugenzi wa manispaa ya Ilala,
Mwendahasara.
MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka ameibuka na jipya ambapo leo
amefanya kampeni ya kusafisha jiji aliyoipa jila la Ng’arisha Tanzania
ambapo wadau mbalimbali wamejitokeza wakiwemo viongozi wa serikali na
wasanii wenzake.Kampeni hiyo imefanyika katika wilaya ya Ilala ambapo walianza kufagia kuanzia maeneo ya Lumumba mpaka Mnazi Mmoja.
No comments:
Post a Comment