Stori: Imelda Mtema
KIONGOZI
wa Bendi ya The African Stars, ‘Twanga wa Pepeta’, Luiza Mbutu, amesema
akiihama bendi yake hiyo atajishushia heshima yake aliyoijenga siku
nyingi hivyo hathubutu.
Luiza alitoa kauli hiyo alipoulizwa na paparazi wetu kama ana mpango wowote wa kubadilisha ‘upepo’.
“Nimetengeneza heshima kwa muda mrefu kwa nini niivunje kwa siku
moja? Wengi walihama, halafu baadaye wamerudi, bora nibaki hapahapa,”
alisema Luiza.
No comments:
Post a Comment