BARNABA KUANZISHWA KIPINDI KIPYA CHA TV,KUWA HEWANI JUNI MWAKA HUU
Msanii
kutoka Tanzania House of Talent(THT) Barnaba Boy mwezi wa sita mwaka
huu anatajia kuonyesha kipindi cha tv ambacho pia kitakua hewani kupitia
website yake na channel yake ya You tube.Barnaba amepiga stori na clouds fm na akafunguka maudhui ya kipindi hiko.
No comments:
Post a Comment