Watu wote tunajua kuwa Diamond ni mmoja wa wasanii wanaoipeperusha
bendera ya Tanzania ki-muziki katika nchi mbali mbalii nje na ndani ya
Africa, kwa kufanya Collable na wasanii wa nje ya Tanzania, kwa
kutengeneza video zenye quality ya juu na kusababisha kuchezwa katika Tv
za Nje ya Africa nk. lakini huyu ndio msanii ambae yeye anamuaminia ,
na hata kudiriki kumuandika katika acc yake ya Instagram kuwa ndio
msanii atakaeipeperusha bendera ta Tanzania hata kama yeye atakufa kesho
No comments:
Post a Comment