WEMA SEPETU AKIRI KUNENEPA SABABU YUPO KIMAPENZI NA MTU AMPENDAYE KULIKO WOTE
Jana katika Kipindi cha leo Tena
Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini Siku hizi ananenepa sana kiumbo
na Mwanadada huyo mrembo alijibu moja kwa moja kuwa ananenepa kwa sababu
ana amani ya moyo kwa vile yupo na mtu kimapenzi ampendaye kuliko wote
duniani...Nadhani wote mnamjua ni nani? Mapenzi raha Bwana asikwambie
mtu ukimpata akupendaye na wewe anakupenda lazima unenepe
No comments:
Post a Comment