Tetesi zimekuwa zikidai kuwa Rihanna na Drake wamekuwa na uhusiano wa
kimapenzi on and off, lakini Rihanna ameonekana kuzikuza tetesi hizo
jumapili iliyopita usiku baada ya kuonekana akipata chakula cha usiku na
Drake sehem inayoitwa L'Avenue iliyopo Paris.
Rihanna anaonekana mwenye aibu alipokuwa akiingia katika mgahawa huo
Wakiondoka tofauti tofauti, Rihhana alionekana akijifunika uso na scarf
ya manyoya wakati alipokuwa akiondoka huku Drake akiondoka bila
kuonekana.
No comments:
Post a Comment