POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, February 28, 2014

KITALE ANUNUA UGOMVI WA PNC BAADA YA KUDHALILISHWA NA USTAADH JUMA NA MUSOMA

Msanii wa Comedy Kitale ameamua kununua ugomvi wa msanii wa Bongo Fleva,PNC na Ustaadh Juma na Musoma baada ya kumdhalilisha msanii huyo kwa kumrekodi video na kumpiga picha na kuzisambaza mtandaoni.Baada kuziona picha hizo Kitale aliamua kumpigia simu Ustaadh Juma na kuuliza kwanini ameamua kufanya kitendo hicho cha kidhalilishaji ambapo Ustaadhi Juma alimjibu mbovu.
Zaidi msikilize Kitale akitiririka.

No comments:

Post a Comment