Hit maker wa wimbo "Watu Na Viatu" kutoka Mombasa "Nyota Ndogo"
ameonyesha kusikitishwa na vitendo vya hivi karibuni vinavyofanywa na
msanii kutoka Lenga Street Kenya Colonel Mustapha, ikiwemo kitendo cha
kupiga picha na msichana anaenokena akiwa hajavaa nguo (Uchi).
Kupitia mtandao wa twitter Nyota Ndogo ameonyesha kusikitishwa kwake na kumuamndikia maneno makali Mustapha akisema
“umri wako hauambatani na vituko unavyo vifanya kwaivyo rudi nyuma ubadilishe.shame on you.wewe hufai kuitwa kioo.”
Tayari mimi ni baba RT@afroGENT @nyota_ndogo
Kioo rafiki yangu ameimba nyimbo inaitwa kioo RT@AnotherKOT
huyu mustafa hafai kuitwa kioo
chajamii kabisa.umri wake na vituko vyake tafauti kabisa.uzee unaingia
bado afanya mambo ya kitoto.shame
Nyota ndogo amekasirika RT@AnotherKOT @nyota_ndogo
wacha nikachukue wanangu
shule.mustafa nakupenda kama kakangu kaa ufikirie sana utajua naonge
yakujenga.usivue watoto wawatu nguo.
No comments:
Post a Comment