Staa wa muziki wa Kimataifa,Akon kutoka pande za Senegal ameamua kuligeukia Bara la Afrika na kutoa msaada unaostahili akishirikiana na makampuni yaliyojitolea katika kampeni hiyo iitwayo Akon Lighting Africa.
Inasemekana kwamba mradi huo ambao umekadiriwa kwamba mpaka itakapofika 2015 makazi zaidi ya million 1 barani Afrika yatakuwa yamepatiwa umeme kupitia mradi huo wa kusambaza umeme wa sola.
Tayari ameshatembelea nchi zaidi ya nne kwa ajili ya mradi huo ikiwemo Senegal, Mali, Guinea na Burkina Faso.
No comments:
Post a Comment