Navy Kenzo chini ya Nah Reel na Aika Jumapili hii watakua na show pande za Maisha Club.
Pia
kutakuwa shindano la kudance ambapo litaendeshwa kuwatafuta watu watatu
wanakaoweza kwenda sawa na Bokodo Dance na watu hao watatu watashiriki
kwenye video ya Chelewa.
No comments:
Post a Comment