Licha ya kuwa 50 Cent sio tena mmoja wa tim ya Aftermath/Interscope,
bado ataendelea kufanya kazi na mshkaji wake wa karibu sana Dr Dre.50
amethibitisha hilokati interview aliyofany ana AP, kuwa Dre atahusika
pia katika production ya project yake inayofata.
50 amesema legend kutoka West Coast Dre ametengeneza wimbo unaoitwa
"Smoke" ambao utapatikana katika album yake inayofata "Animal Ambition"
ambayo itakuwa ni album yake ya kwanza kutoka chini ya usimamizi na
usambazaji wa Caroline Records.
tazama video ya wimbo mpya "Funeral" kutoka kwenye album "Animal Ambition" anayotarajia kuiachia june 3
No comments:
Post a Comment