Mara baada ya kumaliza mkataba na kampuni ya Zantel ambao ndio
waliofanikisha kupatikana kwake kupitia Bongo Star Search, Walter
anatarajia kutoa ngoma yake ya kwanza nje ya mkataba huo, "Mavela"
alioufanya chini ya producer Ema the boy.
Kama picha inavyojiuonyesha hapo juu, wimbo unahusiana na mapenzi ambapo
Mavela ni jin ala msichana ambae anamuomba msamaha katika wimbo huu
Wimbo utaanza kusikika siku ya jumapili kupitia mitandao mbali mbali, na jumatatu ndio utaingia redioni rasmi.
No comments:
Post a Comment