POOL PARTY

POOL PARTY

Saturday, February 22, 2014

DULLY SYKES ASEMA ALIKOSEA KUISHI TABATA KWA KUWA NI ‘BUSH’ KUNAMKOSESHA MITONYO.

Msanii wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes kwa muda mrefu baada ya kuhamisha makazi yake kutoka kariakoo, alihamia pembeni ya mji wa Dar es salaam maeneo ya Tabata, hiyo ni baada ya kujenga mjengo wake pande hizo za Tabata,ambapo alihamia yeye na mama yake.Ambapo Dully alianzisha studio yake ya Dhahabu Records, lakini sasa hivi Dully Sykes ameona kama alikosea kuondoka maeneo ya Kariakoo na anataka kurudi maeneo hayo ya Kariakoo na kuirudisha studio yake ili kukabiliana na soko la ushindani.

No comments:

Post a Comment