Nimekutana na hii picha ambayo
inasemekana Mwanamuziki PNC alikwenda kuomba msamaha kwa Boss wa
Watanashati Bwana Ostaz Juma , Lakini Boss huyo akampiga picha PNC akiwa
anaomba msamaha kwa magoti na kuipost hiyo picha kwenye mtandao wa
kijamiii.....Huu ni udhalilishaji sana aiseee ....Sijapenda kabisa
ikichukulia namjua PNC toka akiwa Mjini Mwanza na Maisha yake yalivyo
..Its so sad jamani ....Toa Maoni yako kama ni Sahihi ama Alikosea
No comments:
Post a Comment