TUKIO LA KAJALA KUWEKEWA SUMU KWENYE KINYWAJI,WEMA SEPETU AFUNGUKA ILIVYOKUWA
Siku
ya Jumatatu Staa ]filamua za Kibongo, Kajala Masanja kupitia account
yake ya Instagram kuandika kuwa alipokuwa kwenye shoo ya Izzo B,Club 71
iliyopo maeneo ya Tegeta, ghafla alianza kuumwa ndipo alipopelekwa
nyumbani na kuelekea hospitali.Aidha alisema kuwa alipofika hospitali
alipimwa akaonekana amekula sumu na kuongeza kuwa alimshukuru Mungu na
kuendelea vizuri.
Kajala hakuweza kupatikana siku hiyo ya Jumatatu, ila 255 imezungumza
na swahiba wake wa karibu Wema Sepetu amefunguka kilichotokea usiku huo.
No comments:
Post a Comment