KAMA ULIKUWA HUJUI BASI HEMEDY PHD NA NAJMA SASA NG'ARE NG'ARE
Nimekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu
Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na
harusi....Huenda sasa hawa ni mambo safi ...Najma alikuwa ni mpenzi wa
Mr Blue zamani ......
No comments:
Post a Comment