Kama
unakumbuka Jumatatu ya wiki iliyopita kupitia kitaani ya xxl, kulikua
na topic kuhusu neno legendary na wachangiaji walitakiwa kutolea mfano
wa legendaries.Moja
kati ya watu waliosikiliza siku hiyo ni pamoja na mtangazaji wa siku
nyingi wa radio na tv /Jimmy Kabwe ambaye sasa hivi anasikika kupitia
radio dada wa Clouds fm 102.5 Choice fm kwenye sports link kila Jumamosi
saa sita mchana, Jimmy Kabwe ameelezea jinsi neno hili anavyolielewa na
linavyotumika.
Huyu hapa Jimmy anafunguka.
No comments:
Post a Comment