Ni mwendelezo wa burudani,iliyoasisiwa na kampuni
ya vinywaji baridi Cocacola,kuwapa fursa wapenzi wa
kinywaji hicho kupata burudana toka kwa wasanii wawapendao,tulianzia Dasr
na leo ilikuwa ni ndani ya jiji la miamba,Mwanza
and to be honest,nimeipenda hali ya hewa ya Mwanza.
tazama picha chache baada ya kuwasili,tuliongozana pia na Madee.
No comments:
Post a Comment