BENDI YA EXTRA BONGO IMEZINDUA ALBAMU YAKE YA ‘MTENDA AKITENDEWA’ DAR LIVE
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky (kushoto) naMuumin Mwinjuma wakiimba kwa pamoja katika uzinduzi wa albamu ya Mtenda akitendewa usiku huu Dar Live....Banza Stone mmoja wa vivutio.
...Ally Choky (kushoto) naBanza Stone.
Bendi ya Extra Bongo imezindua albamu yake
ya ‘Mtenda akitendewa’ hivi punde katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala
Zakheem jijini Dar ambapo maelfu ya mashabiki wamehudhuria!
No comments:
Post a Comment