TASWIRA ZA UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO ‘MTENDA AKITENDEWA’ DAR LIVE
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky akiwa ndani ya Ambulance akiwasili ndani ya Dar Live.
...Ally Choky akishuka katika Ambulance.
...Ally Choky akisalimia mashabiki.
Bendi ya Extra
Bongo imezindua albamu yake ya ‘Mtenda akitendewa’ hivi punde katika
Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakheem jijini Dar ambapo maelfu ya
mashabiki wamehudhuria!
No comments:
Post a Comment