BAADA YA KUANDIKA NA KUCHAPISHA MAKALA YAKE YA THAMANI YA SANAA NI KIKI, KALAMU YA NIKKI WA PILI AJIPANGA KUCHAPISHA MAKALA NYINGINE WIKI IJAYO KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK
Katika
makala ya awali Nikki wa Pili alihoji nini msingi wa sanaa kuonekana
rahisi, na umaarufu kuwa ndiyo inspiration kwa wasanii wachanga na sio
usanii bora.Pia
Nikki alijitolea mfano yeye wakati anaanza game alianza kuperform sana
kwenye concert kabla ya kukimbilia kurekodi akawa anajiuliza kwanini
shooo za diamond jubilee hazipo tena, na siku hizi show za club ni mpaka
wawepo wasanii kibao ndo watajaza na maranyingine wanaweza kula za uso
pia, sasa kuna maswali nikki aliyauliza na alitaka kujibiwa na wasomaji
wa makala hiyo
No comments:
Post a Comment