Licha ya wadau na mashabiki wa sanaa kukasirishwa na video, audio pamoja
na picha iliyokuwa ikimuonyesha PNC akimpigia magoti Ostaz Juma na
musoma akimuomba msamaha na kuomba kurudi katika kundi la Mtanashati
linalosimamiwa na Ostaz, huku wakidai kuwa ni kumdhalilisha, PNC
ameonekana kutokujali na kutamka wazi kuwa ataendelea kuwa mtanashati na
wameshakubaliana na msamaha wake umekubaliwa.
Picha hiyo ya juu inamuonyesha Ostaz na PNC wakiwa ndani ya studio za
Mazoo. Inasemekana wanarecord wimbo wa pamoja utakaoitwa "Thamani yangu"
No comments:
Post a Comment