Tangu
jana usiku kuna picha ilikua imesambaa ikimwonyesha Msanii Pancras
Ndaki a.k.a ‘PNC’ akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ustadh Juma
na Musoma, kama anamwomba msamaha na Ustadh ameonekana akiwa amekalia
kochi huku amekunja nne, picha imekua gumzo.255 ya xxl ya clouds fm imepiga stori na Ustadh huyu hapa anafunguka kuhusu picha hii
Ikumbukwe
kwamba Ustadh Juma alikua ana label, na ilikua na list ndefu ya wasanii
kama Kitale, Dogo Janja, Sharomilionea, Suma Mnazaleti na wengine
wengi, alipotemana na wasanii hao ndiyo akaamua kuimba yeye mwenyewe,
anajiita Birdman wa Bongo.
No comments:
Post a Comment