POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, February 26, 2014

RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WWENYEWE WAJIACHIA BILA WOGA


Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.
Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia  show ya Drake usiku huo.
Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia.

No comments:

Post a Comment