Rapper Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness
Jumapili hii atasindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo,Barnaba,Shaa, Recho,Jux,Barnaba,Quick
Rocka,Roma,Mirror,Snura katika show iliyopewa jina la Usiku wa Love Me na
Tummoghele.Show hiyo itafanyika (Club 71) Kibo Complex
Tegeta jijini Dar es Salaam kwa kiingilio cha Shilingi 6000/=
Msanii wa filamu Kajala Masanja atakuwa kama mshehereshaji wa show hiyo.
Baadhi ya picha za wasanii watakaotoa burudani usiku huo.
No comments:
Post a Comment