Aliekuwa mshiriki wa BBA 2013 Huddah Monroe na Msanii wa kitambo kutoka
Kenaya Colonel Mustapha wametangaza kuwa na uhusiano wa kimapenzi.
katika kipindi "Kiti moto" kinachorushwa na televishen ya KTN, Hudda na
Mustapha wamesema wapo katika uhusiano lakini wanaangalia utawafikisha
wapi....Wasikilize na kuwatizama hapa chini
No comments:
Post a Comment