TETESI:WAMILIKI WA FACEBOOK NA INSTAGRAM WAIFUNGIA UGANDA..KUMKOMESHA MUSEVENI
Kufuatia Rais wa Uganda kusaini sheria
mpya ya kupinga Ushoga na aina zote za namna hiyo, wamiliki wa Facebook,
Instagram, na Twitter wamefunga huduma zote katika nchi ya Uganda ikiwa
ni ishara ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na hatua ya Museven kusaini
sheria hiyo. Kwa sasa wananchi wa Uganda hawatapata huduma hizi labda
Rais wao aamue vinginevyo katika sheria hiyo.
No comments:
Post a Comment