Kufuatia
picha na video inayomwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti Boss
wake wa zamani CEO wa mtanashati Ustaadh Juma na musoma, lawama nyingi
zimemwangukia Ustaadh kwa kuziweka picha hizo mtandaoni
Siku ya jana PNC hakuweza kupatikana ila leo 255 ya xxl ya clouds fm imepiga naye stori.
No comments:
Post a Comment