Hivi
karibuni shirika la kijamii la ANSAD limemteua Msanii wa muziki wa
asili Mrisho Mpoto na wenzake kuwa Mabalozi wa kilimo kwa kuwapa mkataba
wa mwaka kama mmoja hivi.Wasanii
hao watakua wanafanya shughuli mbalimbali za uhamasishaji wa jamii
kukitumia kilimo kujikwamua na umaskini, ANSAD ni shirika ambalo
lilipata tuzo kutoka shirika la kimataifa la ONE ambalo nalo hivi
karibuni lilipiga kazi pamoja na Diamond Platinum na AY
Mjomba Mpoto huyu hapa
No comments:
Post a Comment