MASOGANGE BORA UKATE MAONO KAMA HIVI KULIKO KUUZA SEMBE
Week hii Mitandaoni zimetawala picha za Agness Masogange Mitandaoni
Akicheza jukwaani huku akionehsa kiuno chake kwa chati kwenye ufunguzi
wa Pub Moja huko Dodoma Its Obvious Alilipwa kwa kufanya hivyo tena si
hela ndogo ...Mimi ki ukweli kanifurahisha ni bora atumie kipaji chake
na umbo lake kujipatia hela kwenye matamasha ama video mbali mbali
kuliko ile ya kuuza Sembe aka Ungaz....Hongera
No comments:
Post a Comment