UGANDA YAPIGA MARUFUKU UVAAJI WA VIMINI NA MAVAZI YA NUSU UCHI ATAKAYE KUTWA FAINI JELA MIAKA 10
Rais wa Uganda Yoweri Musen Amesign
Mswada wa kuzuia wanawake kuvaa nguo fupi zijulikanazo kama vimini ama
nguo zozote za nusu uchi, Kuanzia sasa mtu yoypte atakaye kutwa amevaa
hivyo atachukuliwa sheria ikiwemo adhabu ya kufungwa jela miaka 10 mpaka
15 ...Je unaonaje na kwetu Tz ikiletwa Adhabu Hii Maana daaaa
Kumezidi?/
No comments:
Post a Comment