MSANII wa sinema za Kibongo, Jeneffer Kyala ‘Odama’ ameamua kupumzika kuigiza hadi atakapojifungua.
Taarifa za uhakika kutoka kwa mtu wa karibu na staa huyo, zimeeleza
kuwa, kwa kuwa nyota huyo tayari tumbo limekua, hawezi tena kuhimili
mikikimikiki ya uigizaji ndiyo maana kaamua kupumzika.
“Amesimama
kuigiza hadi atakapojifungua, tumbo kwa sasa ni kubwa,” alisema mtu
huyo wa karibu. Odama alipotafutwa alisema: “subiri kidogo, nitakucheki
baadaye.”
No comments:
Post a Comment