WEMA SEPETU"SIUMIZWI NA NAIMA KUNICHUKULIA BWANA AISHI MAISHA YAKE"
Mwanadada Wema Sepetu Leo Amefunguka
kwenye Segment ya U-heard ya Clouds FM na Suddy Brown kuwa Haumizwi
kabisa na kitendo cha Rafiki yake ajulikanae kama Naima Kumchukulia
Bwana "Clement" Amesema hana Beef nae kabisa kwa kuwa na yeye ana wake
kwa sasa "Diamond i Guess" , Niko Happy kabisa na Nimeshamwambia Aishi
Maisha yake Tuko Fresh kabisa nae.....
No comments:
Post a Comment