POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, February 5, 2014

WEMA SEPETU"SIUMIZWI NA NAIMA KUNICHUKULIA BWANA AISHI MAISHA YAKE"


Mwanadada Wema Sepetu Leo Amefunguka kwenye Segment ya U-heard ya Clouds FM na Suddy Brown kuwa Haumizwi kabisa na kitendo cha Rafiki yake ajulikanae kama Naima Kumchukulia Bwana "Clement" Amesema hana Beef nae kabisa kwa kuwa na yeye ana wake kwa sasa "Diamond i Guess" , Niko Happy kabisa na Nimeshamwambia Aishi Maisha yake Tuko Fresh kabisa nae.....

No comments:

Post a Comment