POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, February 28, 2014

WAKALI WA SONG LA CHELEWA,NAVY KENZO KUANGUSHA BONGE LA SHOO,MAISHA CLUB JUMAPILI HII

Navy Kenzo chini ya Nah Reel na Aika Jumapili hii watakua na show pande za Maisha Club.
Pia kutakuwa shindano la kudance ambapo litaendeshwa kuwatafuta watu watatu wanakaoweza kwenda sawa na Bokodo Dance na watu hao watatu watashiriki kwenye video ya Chelewa.

No comments:

Post a Comment