POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, December 19, 2014

HOT PICTURE ZA MAMA BETTY NANG'AIIII














BELLA, BABY MADAHA WATINGA GLOBAL TV ONLINE, WAELEZEA WALIVYOJIPANGA KWA SHOO YAO YA BOXING DAY DAR LIVE


Baby Madaha (kushoto) akipozi na Isabella Mpanda 'Bella' ndani ya studio za Global TV Online leo.
Baby Madaha katika pozi ndani ya Global TV Online kabla ya interview.…
Baby Madaha (kushoto) akipozi na Isabella Mpanda 'Bella' ndani ya studio za Global TV Online leo.
Baby Madaha katika pozi ndani ya Global TV Online kabla ya interview.
Bella naye akitupia pozi kabla ya kuanza interview na Global TV Online leo.
Bella na Madaha wakipozi na Walusanga Ndaki wa Global baada ya interview.
Bella na Madaha wakiwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.
Warembo hao wakipozi na Erick Evarist ambaye ni Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi.
WASANII Isabella Mpanda na Baby Madaha leo wametimba ndani ya studio za Global TV Online na kufanya interview.
Miongoni mwa mambo waliyoeleza ni pamoja na maandalizi ya shoo yao ya Boxing Day itakayofanyika katika Ukumbi wa Burudani wa Dar Live, Mbagala-Zakheem, Dar.
Mastaa hao wamesema wamejipanga kutoa burudani ya kufa mtu siku hiyo na kuwataka mashabiki wao wahudhurie kwa wingi siku hiyo.
Mbali na shoo, pia wamefunguka mambo kibao yakiwemo mahusiano yao, maisha kwa ujumla, projects zao mbalimbali kimuziki na mengineyo.

Video Ya AliKiba Kutoka Leo,Itarushwa Kwenye Vituo Hivi Kwa Mara Ya Kwanza



Video iliyosubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wa Ali Kiba ‘Mwana’itaanza kuonyeshwa ijumaa ya 19 Decemba 2014. Ali Kiba amethibitisha kuwa video imekamilika kwa kutoa kionjo cha video hio na kusema ‘Videoimetayarishwa na muongozaji kutoka Afrika Kusini na imefanyika maeneo ya mjii wa Cape Town” .

Vituo vitakavyo rusha hii video

Cameroon, Ethiopia, Angola, U.S. & U.K. itachezwa kwenye vituo vya 1Musicnetworks.

Nigeria na Ghana itachezwa kwenye kituo cha SOUNDCITYtv.

Uganda itachezwa kwenye kituo cha NTVUganda.

Kenya itachezwa kwenye kituo cha Citizen Tv kwenye kipindi cha Mseto.

Tanzania itachezwa kwenye kituo cha CloudsTV.

MWILI WA AISHA MADINDA WASWALIWA KABLA YA MAZIKO

 
Mwili wa Aisha Madinda ukiswaliwa kabla ya maziko huko Kigamboni jijini Dar hivi punde.
Akina mama wakiuombea mwili wa marehemu Aisha Madinda.…
Mwili wa Aisha Madinda ukiswaliwa kabla ya maziko huko Kigamboni jijini Dar hivi punde.
Akina mama wakiuombea mwili wa marehemu Aisha Madinda.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda likiwa mbele ya waombolezaji.
Mtoto wa kike wa marehemu akiwa amezimia baada ya mwili wa mama yake kuwasili Kigamboni.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda wakati likiwasili nyumbani kwao marehemu Kigamboni, Dar.

Ulinzi aliowekewa Diamond kiboko!



Mlinzi kutoka jeshi la Uganda

Hawa askari tuliwaona wakati Diamond Platnumz amewasili Uganda na kupokelewa Airport kwa mbwembwe sana.

Kumbe ulinzi wao uliendelea mpaka siku ya sho ambapo mmoja wao aliwekwa Nje ya chumba cha Diamond na Zari. Ni Mlinzi kutoka jeshi la Uganda akilinda usalama Wa@diamondplatnumz na @zarithebosslady Hii picha akiwa nje ya chumba akiwasubiri wakati wakijiandaa.

YANGA YAMTANGAZA PLUIJM KOCHA MKUU, MKWASA MSAIDIZI



TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA AISHA MADINDA, KIGAMBONI JIJINI DAR


Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.…
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.
Waombolezaji wakisubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda Kigamboni.
Ali Choki (kushoto) akiwa na Dogo Rama wakiwa msibani Kigamboni.
Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu.

DIAMOND, ZARI WAFUNIKA ALL WHITE CIROCPARTY ILIYOFANYIKA KAMPALA UGANDA

Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda.

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo.…
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda.
 
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo.
 
The Boss Lady akiwa katika pozi.
Diamond Platnumz na The Boss Lady wakitoka hotelini.
 
... Wakipanda gari.
 
Umati wa watu waliojitokeza katika shoo ya AllWhite Cirocparty usiku wa kuamkia leo.
Diamond Platnumz (kushoto) na The Boss Lady wakipiga picha nje ya Ukumbi wa Guvnor.