POOL PARTY

POOL PARTY

Monday, September 30, 2013

WEMA SEPETU ATAMBULISHA WASANII WAKE

wema2
mirror
barnaba
Wasanii wanaokuja kwa kasi katika muziki wa Bongo flava hapa Tzee Mirrow pamoja na Asali jana waliweza kukonga nyoyo za mashabiki wao walipopanda Jukwaani.
Mirrow na Asali ni wasanii wanatoka katika kampuni ya Endless Fame ambayo ipo chini ya Mwanadada mahiri Wema Sepetu.
Katika uzinduzi huo wasanii wa Endeless Fame walitambulisha nyimbo zao mpya ambazo ziliwagusa mashabiki waliofika katika Club ya Bilicanas, pamoja na uzinduzi huo CEO wa Endless Fame Wema Sepetu alipanda Jukwaani kwa ajili ya kunena na mashabiki wake, ili waweze kuwapokea wasanii wanaotoka katika kampuni yake.
Uzinduzi wa nyimbo mpya za Mirrow na Asali ulisindikizwa na wasanii mbalimbali kama vile, Mwana FA, H.Baba, Country Boy, Barnaba, Mao, TID, Nyandu Tozi, Hassani Mapenzi.
You might also like:

Wednesday, September 25, 2013

Baada ya kuwatukana wasanii kibao kupitia twitter Gucci Mane arudi twitter na kuomba msamana huku akikiri kutumia madawa ya kulevya

Maneno machafu yaliyokuwa yakiandikwa na Rapper Gucci Mane kupitia mtandao wa Twitter dhidi ya wasanii mbali mbali wakubwa yaliwaacha watu wakijiuliza maswali dhidi ya afya ya akili ya Rapper huyo
 http://djfetty.blogspot.com/2013/09/gucci-mane-achafua-twitter-awadiss-kila.html

Baada ya muda Gucci alifuta tweet yake  lakini sasa hivi ameifungua upya na kuanza kutuma tweets zenye kuomba msamaha kwa ndugu, jamaa na marafiki  pamoja na mashabiki wake huku Birdman, Drake na Ricky Ross akiwataja kwa majina.

Gucci pia amekiri kuwa addicted na madawa  ya kulevya aina ya "lean" na kutangaza kuwa atajiunga na "Rehab" mara tu baada ya kutoka jela.

Wednesday, September 18, 2013

She dance naked on the stage | Mrembo staa jukwaani uchi |

She dance naked on the stage | Mrembo staa jukwaani uchi
 
hii sasa imekuwa mtindo wa mastaa wanawake upanda jukwaani kupafom uchi,  

INTRODUCING SERENGETI PREMIUM LAGER OFFICIAL FACEBOOK PAGE...TWENZETU TUKAWINDE

Welcome to the Serengeti Premium Lager Official FaceBook page...
Fanya Kuclick Hapa<<Serengeti Premium Lager Official FaceBook page>>

Serengeti Premium Lager ndio Wazamini wakubwa wa Tamasha La Fiesta Mwaka huu 2013 ...Dont Miss a Chance To Win Free FIESTA TICKETS AND TOURS...Like The Page to Win and More.

Tuesday, September 17, 2013

Picha: Fiesta Dodoma yavunja historia yake kwa kujaza nyomi kuliko miaka yote

Fiesta Dodoma imevunja historia yake yenyewe, kwa kujaza kuliko miaka mingine yote. Fiesta imefanyika siku ya jna ndani ya viwanja vya Jamhuri na kuacha historia ya nyomi kama unavyoona kwenye picha..Pichani ni Dully Sykes akifanya yake on the stage.

Stamina na Young Killer 

Kankaraga

Diamond na Ney wa Mitego

JOHARI NA CHUCHU HANS WANAKUNG'UTANA MANGUMI MCHANA KWEUPEEE, KISA PENZI LA RAY!!

Wasanii wa filam nchini kwetu Tanzani Johari na Chuchu
Hansi wafumaniana nyumbani kwa msanii mkubwa Ray
sinza dar nchini Tanzania na Johari kumtwanga sana
Chuchu kwanini anakua na mahusiano ya kimapenzi na
mchumba wake basi johari alimjeruhi sana baada ya hapo
msanii tishio la jiji akawa amerudi ndio akaokoa ugomvi huo
lakini chuchu kaumia.
TOA MAONI YAKO HAPA

HATIMAYE MSHINDI WA BBA MWAKA HUU DILLISH AMKUBALI MKENYA ALIYE JITOKEZA NA KUDAI NI BABA YAKE

Big Brother Africa seems to have brought Kenyans yet another lucky streak soon after Namibian beauty and winner of Big Brother Africa The Chase Dillish Mathews accepted her Kenyan father Abdi Galgayo Guyo.

After 22 years of hardship and not having a father figure, Dillish Matthew finally met her long-awaited/lost father and even invited him to her birthday down in Namibia yesterday (September 16th).

In a recent interview with Standard Group Media on September 2, 2013, Mr. Abdi the father of five revealed himself to be Dillish's father. And even though Dillish had denied him thinking he was an opportunist, she later met and accepted him.

Dillish was crowned BBA 'The Chase' winner on Sunday, August 25, beating 27 contestants from different African countries and going home with the grand prize of USD 300,000.

Here are photos of Dillish and her Kenyan father celebrating at her birthday party.
By Sheila Kimani / Standard Media, Kenya

PICHA:SERENGETI FIESTA ILIVYOWASHIKA WAKAZI WA MOROGORO JUMAPILI

bukobaflowzone.comj
IMG_6216
Msimu wa Fiesta mwaka 2013 unaendelea kwenye mikoa tofauti ya Tanzania, jumapili ya tarehe 15/9 show ilikua mkoani Morogoro. Lakini kama kawaida ya msimu wa mwaka huu Fiesta unaenda sambamba na semina ya fursa. Angalia hapa picha za show nzima na semina ya fursa zilivyoenda.
Kwa Updates Mbali mbali za Serengeti Fiesta jiunge na Official Facebook Page ya Serengeti kwa Kuclick Hapahttps://www.facebook.com/serengetipremiumlager
ssswwwDj Zero akiwa kazini
ssas (2)My boss Mr Sebastian Maganga,mdau,Mr Lee kutoka Clouds TV na mdau mwingine
ssas (1)
sdsssNey Lee
j
IMG_6156  Anorld Kayanda,Gea Habib,mdau na MpokiWatu walikuwa ni wengi kama kawaida ya show za fiesta
k
IMG_6092
Recho akiwa na madancer wake
IMG_5824Mwasiti akizungumza kwenye semina ya Fursa
IMG_5799Baadhi ya watu waliofika kwenye semina
IMG_5789Mrisho Mpoto akitoa maneno yake kwenye semina
IMG_5748
12Mbunifu wa mavazi kutoka Morogoro alipata nafasi kwenye semina ya fursa
7
8
asw
fff
9Nikki wa pili akizungumza kwenye semina ya fursa
10
IMG_2128
IMG_2284
11
1
2
3
4
6