POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, March 26, 2014

Diamond aishauri serikali kuzifungia kwanza video na nyimbo kutoka nje ya nchi kwani zina uchafu zaidi kuliko video za wasanii wa hapa Bongo

STAA wa Bongo Fleva Nasseb Abdul’Diamond Platinumz’ amefunguka ameishauri serikali kuzifungia kwanza video na nyimbo kutoka nje ya nchi kwani zina uchafu zaidi kuliko video za hapa Bongo.Kupitia mtandao wa Instagram Diamond aliandika hivi ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje…
Na kuongeza kuwa kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza muziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be achieved?

WASANII WATAKAOWANIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS 2014 WATAJWA

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui Uzuri wako ya Jux, Nimevurugwa ya Snura na Tema mate tuwachape Madee
Nyingine ni WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI – Tubonge ya Jose Chameleone, Nakupenda pia ya Wyre na Alaine, Badilisha ya Jose Chameleone, Kipepeo ya Jaguar, Kiboko changu ya Amani, Weasal na Radio.
WIMBO BORA WA TAARAB – Wasiwasi wako wa Mzee Yusufu, asie kujua hakuthamini Isha na Saida Ramadhani, Nipe stara Rahima Machupa, sitaki shari Leila Rashid, fahari ya mwanamke ya Khadija Kopa, mambo bado Khadija Yusufu, kila muomba Mungu ya Mwanahawa Ally.
WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru, Sexy Lady ya Dr. Jahson, My sweet ya Jettyman Dizano, feel alright ya Lucky Stone na wine ya Princess Delyla.
WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA – Muziki gani ya Ney wa Mitego ft Diamond, Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J, kidela ya Ally Kiba na Abdu Kiba, bila kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins.
RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo, Chokoraa, Ferguson, Canal Top na Totoo ze bingwa.
MTUMBUIZAJI BORA WA K*** WA MUZIKI – Khadija kopa, Vanessa Mdee, Isha Ramadhani, Luiza Mbutu, Catherine (Cindy)
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB – Enrico, Ababuu mwana wa Zanzibar na Bakunde.
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA (BENDI) – Allan Mapigo, C9, Enrico, Amoroso na Ababuu mwana wa Zanzibar.
WIMBO BORA WA REGGAE – Niwe nawe ya Dabo, hakuna matata ya Lonka, tell me ya Dj Aron ft Fidempha, bado nahitaji ya Chikaka ft Bless P & Lazzy B, Bongo reggae ya Warriors from the east.
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA – Kwejaga nyangisha ya Batarokota, Nalonji ya Kumpeneka, bora mchawi Dar bongo massive, tumbo lamsokota ya Ashimba, Aliponji ya Wanakijiji na Agwemwana ya Cocodo african music band

Thursday, March 20, 2014

NJEMBA MOJA YAKAMATWA LIVE IKILA URODA NA MWANAFUNZI KWENYE GARI LAKE




Jamani haya Magari yetu yamegeuka kuwa Gesti House siku hizi, Maana haka kamchezo kameshamiri hapa jijini Dar ...Hiki ndicho kilichomkuta njemba huyu Baada ya kunaswa akila Uroda na mwanafunzi kwenye gari yake.

TAZAMA PICHA ZA LULU JINSI KALIVYOTOKLEZEA..WALAHI KATOTO KATAMU HAKA






ROMA AKERWA NA WANAOZIFANANISHA NYIMBO ZAKE NA MAGAZETI AU TAARIFA YA HABARI

Mshindi wa tuzo ya msanii bora wa Hiphop mwaka 2011-2012 rhymes of magic attraction Roma, amesema kuwa anakerwa sana na kauli zinazohusisha muziki wake na taarifa za habari au magazeti.
Roma ana miaka 7 tu kwenye game ya bongo flava huku akiwa na fan base kubwa, wiki iliyopita ameachia ngoma yake ya saba tangu aingie rasmi kwenye game, ngoma inaitwa KKK
Roma huyu hapa anafunguka.

Tuesday, March 18, 2014

Producer Mswaki awajia juu Bongo5 baada ya kuitafsiri project yake kuwa ni Obsession na kutafuta kiki

Kama unakumbuka wiki iliyopita siku ya ijumaa, Mswaki aliongea juu ya project aliyokuwa akitarajia juifanya aliyoipa jina la "Keeping Ngwair Alive" ambapo alikuwa akitarajia kutoa ngoma kadhaa kwa sauti na style ya Ngwea maana anipatia sana, ila alikwamishwa na familia ya Ngwea baada ya kwenda kuwaona na kuomba blessing juu ya swala hilo, ambapo aliambiwa ni mpaka aweke kila kitu kwenye maandishi. Mtandao wa Bongo5 ulitoa makala ikiongelea project hiyo na kuitafsiri kama ni Obbsession na kutafuta kiki tu. Mswaki baada ya kukutana na maandishi hayo, aliamua kutumia ukurasa wake wa Instagram na kusema haya.




Really? #Obsessed#KutafutaKiki#Bongo5 naomba nieleweke hivi... 1.Kwanza kabisa nyie kama chombo cha habari mlikuwa na haki kimsingi ya kunitafuta mimi mwenyewe na kuniuliza kama mlikuwa mnataka kujua kuhusiana na hii project,kuliko KUANDIKA na KUJIPA MAJIBU pasipo kuwa na taarifa za kutosha 2.Mnasema kwamba mimi najaribu au nataka kuchukua character ya marehemu Albert,I CAN NEVER BE ARBERT hata siku moja kwa sababu muziki ni sehemu ndogo sana ya maisha au tabia ya mtu. 

3.Mi naamini kila mtu anaweza kumuenzi marehemu kwa nafasi yake hata kama ni kidogo sana,kama mnanifatilia kwa makini sijawahi kusema kwamba mimi ni ZAIDI ya marehemu Albert. 4.Hiki kitu nilikuwa nakifanya kwa nia njema na nilikuwa naamini ni moja ya njia ya kumfanya Albert aendelee kuishi kimziki kwa upande mwingine. 5.Kuweza kufanya kama marehemu ni moja ya sababu tu iliyonipelekea kufanya#keepingNgweaAliveProject,lakini kimsingi project ilikuwa inamuhusu Ngwea moja kwa moja kuanzia kitu alichokiimba na naamna navyoimba mimi ndo maana nikaenda kuwaona wazazi wake ili nao waweze kupata mwanga wa project nzima. Je kuna wasanii wangapi mashuhuri waliofanya vitu vikubwa sana na wakasahaulika kabisa KIMUZIKI?nilikuwa najaribu kuwa mfano kwa hii project kwa kuleta muamko katika jamii wa kuwambuka watu mashuhuli waliotutangulia KWA CHOCHOTE KIDOGO ULICHONACHO. Ahsante

Diamond: What can i say, i love her either way

Baada ya watu wengi kutoa comments zisizo nzuri juu ya picha aliyoiweka Wema Sepetu kwenye acc yake ya Instagram ikimuonyesha akiwa kipara kabisa, Diamond aamua kukata vilimi vya watu hao kwa ku-post picha akiwa na Wema (Kipara) na kusema kuwa anampenda vyovyote vile hata kama ni kipara


So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love her either way... #Mahaba_niue#Kipara_ninyonge

Saturday, March 15, 2014

ROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI

Wakitoka kwenye viwanja vya mnazi mmoja kuelekea Lumumba kuanza kazi.
Meya wa wilaya ya Ilala, Jerry Slaa akiwa kazini.
Wakiwa wanafagia.
Msanii mkongwe wa filamu, Mzee Kambi akisukuma toroli la takataka.
Kazi na dawa, wasanii wa filamu wakizungumza kidogo.
Mdogo wa Rose, Rachel Ndauka akimsapoti dada yake.
Mdau wa filamu Bongo anayewasaidia wasanii mambo mbalimbali, Mama Rolaa akiwa kazini.
Rose akionesha jiko la kisasa alilotoa kwa manispaa hiyo kwa ajili ya kuchomea takataka ambalo halina madhara kwa mazingira.
Rose Ndauka (katikati) akitoa shukurani kwa watu waliomsapoti.
Meya wa Ilala, Jerry Slaa (wa pili kushoto) akiwashukuru waliojitokeza kwenye kampeni hiyo, wa kwanza kulia ni mkurugenzi wa manispaa ya Ilala, Mwendahasara.
MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka ameibuka na jipya ambapo leo amefanya kampeni ya kusafisha jiji aliyoipa jila la Ng’arisha Tanzania ambapo wadau mbalimbali wamejitokeza wakiwemo viongozi wa serikali na wasanii wenzake.
Kampeni hiyo imefanyika katika wilaya ya Ilala ambapo walianza kufagia kuanzia  maeneo ya Lumumba mpaka Mnazi Mmoja.