POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, February 28, 2014

WASTARA: NINAHITAJI KUPUMZIKA, KUJIFUNGIA


Stori: Brighton Masalu
STAA wa kike mwenye uwezo wa kucheza na hisia kwenye filamu za Kibongo, Wastara Juma, amesema kwa sasa anahitaji muda mwingi wa kupumzika kutokana na misukusuko mingi iliyomkumba siku za hivi karibuni.
Wastara Juma.

Akiteta na paparazi wetu kwa sauti ya chini na ya upole alisema: “Nahitaji muda mwingi wa kupumzika jamani, kuna mambo yameniondoa kabisa kwenye ‘mudi’ ya kawaida hivyo natumia muda mwingi kuwa peke yangu.”

No comments:

Post a Comment