POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, February 28, 2014

USTAADH JUMA NA MUSOMA AFUNGUKA KUHUSU PICHA INAYOONEKANA KUWA NI YA KIDHALILISHAJI KWA MSANII PNC

Tangu jana usiku kuna picha ilikua imesambaa ikimwonyesha Msanii Pancras Ndaki a.k.a ‘PNC’ akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ustadh Juma na Musoma, kama anamwomba msamaha na Ustadh ameonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne, picha imekua gumzo.255 ya xxl ya clouds fm imepiga stori na Ustadh huyu hapa anafunguka kuhusu picha hii
Ikumbukwe kwamba Ustadh Juma alikua ana label, na ilikua na list ndefu ya wasanii kama Kitale, Dogo Janja, Sharomilionea, Suma Mnazaleti na wengine wengi, alipotemana na wasanii hao ndiyo akaamua kuimba yeye mwenyewe, anajiita Birdman wa Bongo.

No comments:

Post a Comment